STORY MPYA

recent

PROF. LIPUMBA NA WAFUASI WAKE 30 WAACHIWA HURU NA MAHAKAMA YA KISUTU LEO


Professor Ibrahim Lipumba alikuwa na kesi pamoja na wafuasi 30 wa CUF katika Mahakama ya Kisutu Dar es Salaam akikabiliwa na mashtaka ya kufanya mkusanyiko bila ya kuwa na kibali cha
Polisi.

Kesi hiyo imefutwa rasmi leo baada ya DPP kuileleza mahakama kuwa hana nia tena ya kuendelea na kesi hiyo.
PROF. LIPUMBA NA WAFUASI WAKE 30 WAACHIWA HURU NA MAHAKAMA YA KISUTU LEO Reviewed by Unknown on 1:53 PM Rating: 5
All Rights Reserved by TANZANIA COUNTRY BLOG © 2014 - 2015
Designed by JOJOThemes

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.